View AUDIOLOGY HINTS flipbook.
AUDIOLOGICAL CENTRE Audiology ni taaluma ya inayohusika na uchunguzi, utambuzi, kinga na usimamizi wa matatizo ya kusikia na usawa wa mwili (balance). REQUIREMENTS; 1.Audiological Room (chumba cha Upimaji) - lazima kiwe na Umeme - Mwanga wa kutosha. Kuwe na bati jeupe la mwanga - Sakafu ya mbao au soft materials kama sponchi - Kusiwe na muinguliano wa sauti au mwangwi - AC
Vifaa vikuu vya kupima usikivu 1. Diagnostic Audiometer. Hupima uwezo wa kusikia katika masafa na viwango tofauti vya sauti. Husaidia kutambua kiwango na aina ya upungufu wa usikivu. Components za audiometer -Air Conductor (Headset inayoonesha red and blue colour ambapo red inaashiria right ear and blues inaashiria left ear. - Bone conductor -Patients signal
2. Tympanometer Huchunguza utendaji wa sikio la kati na mwitikio wa ngoma ya sikio.Hii ni kwaajili ya sikio la kati na nje. 3.Ottoscope (a) Analogy (b) Digital ottoscope( digital inspection Camera)
4.Sound evel Meter Kupima kiwango cha sauti kwa decibel (dB), kwa mfano kupima kelele katika mazingira ya kazi au kuchunguza kiwango cha kelele ndani ya chumba cha vipimo. 5.Hearing Aids ( Shime sikio) 6.Source of Sound Free field test kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5. - Marimba - Ngoma - Filimbi
BEI YA UPIMAJI NA HEARING AID FIT A) PTA-Pure Tone Audiometry (zoezi zima la upimaji mpaka likamilike) Price based on hospitals i) Ekenywa hospital bei zao kwa upimaji tu PTA = 100,000/= - 150,000/= Hearing Aids Fit= kuanzia 700,000/= mpaka 1,000,000/= per hearing aid ii) Muhimbili hospital bei zao ni 100,000/= kwa upimaji tu. Hearing Aids ni kuanzia 700,000/= mpaka 1,000,000/=. iii) kwa buguruni viziwi pale bei ziko chini kwa sababu ni serikali alafu ni kwaajili ya wanafunzi tu. Watu kutoka nje ya shule ndio wanalipia 30000/= mpaka 40000/= kwenye upimaji kwa upande wa hearing aids fit bei ni kuanzia 700000/= mpaka 1,000,000/=